MATHIAS CANAL ACHANGIA VIFAA VYA MICHEZO SHULE MBILI ZA MSINGI IRAMBA//AMPA HEKO DKT MWIGULU NCHEMBA
Mshindi wa Tuzo za SAMIA KALAMU AWARDS na Afisa Mtendaji Mkuu wa WAZOHURU MEDIA Ndg Mathias Canal amechangia vifaa vya michezo katika shule mbili za Msingi ambazo ni Kiomboi Bomani na Kiomboi Hospitali. Vifaa hivyo amevikabidhi kwa Wakuu wa Shule hizo mbili ikiwemo Jezi jozi mbili za mpira wa miguu kwa kila shule, jezi jozi…