Shahidi adai mama alikwenda kwa sangoma kumpumbaza bintiye
Dar es Salaam. Shahidi wa tano wa upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya mwanafamilia, inayomkabili Sophia Mwenda (64) na mwanaye wa kiume, Alphonce Magombola (39), ameieleza mahakama jinsi mama huyo alivyokwenda kwa mganga wa jadi na kupewa dawa ya kumpumbaza binti yake asiende Mbeya kutoa ushahidi mahakamani. Katika maelezo ya onyo aliyotoa Kituo…