Majaliwa: Sanaa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema sekta ya utamaduni na sanaa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa wasanii na Taifa, kuongeza fursa za ajira, kurasimisha kazi za sekta sambamba na kuimarisha maadili ya jamii. Waziri Mkuu ametoa wito kwa wasanii nchini waweke kipaumbele cha kuwekeza mapato yatokanayo na kazi zao katika shughuli…

Read More

Wakazi Dodoma kupata tiba nyuki bure

Dodoma. Katika kuwawezesha watu wengi kupata tiba nyuki, Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza kutoa matibabu hayo bure kwa siku tatu jijini Dodoma. Matibabu ya nyuki yamekuwa maarufu katika siku za karibuni ambapo watu wamekuwa wakitozwa Sh10,000 na kuendelea kwa tiba mara moja. Akizungumza leo Jumamosi Mei 17, 2025, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk…

Read More

Kinachombeba Lazaro Coastal hiki hapa

KOCHA wa Coastal  Union, Joseph Lazaro amesema uzalendo mkubwa alionao na kuuonyesha kwa timu hiyo, umemfanya awe tegemeo la Wagosi wa Kaya huku akisema imembeba na kumtambulishwa ndani na nje ya mkoa huo, kuipenda kazi na anatamani kuona wachezaji wanazifikia ndoto zao. Kitendo cha kuifundisha timu hiyo ambayo alikuwa sehemu ya kunyakua ubingwa wa Ligi…

Read More

Profesa Janabi, wenzake kuchuana WHO kesho

Dar es Salaam. Mchakato wa uchaguzi wa kumpata Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, unatarajiwa kufanyika kesho Jumapili Mei 18, 2025 jijini Geneva, Uswisi. Kikao maalumu cha ana kwa ana cha Kamati ya Kanda ya Afrika kimepangwa kufanyika kesho huko Geneva kwa ajili ya kuteua Mkurugenzi wa Kanda ajaye. Tayari wawakilishi…

Read More