Tanzania yataja ongezeko shinikizo la juu la damu
Dar es Salaam. Wizara ya Afya nchini Tanzania imesema miongoni mwa magonjwa yasiyoambukiza, shinikizo la juu la damu ndilo linaongoza kwa idadi ya wagonjwa wanaopata matibabu katika vituo vya afya nchini. Kufuatia hali hiyo, Serikali imepanga mikakati mbalimbali pamoja na kuboresha miundombinu, vifaa tiba na mafunzo kwa watoa huduma za afya kwa kuwajengea uwezo watoa…