MADEREVA 800 WAPATIWA MAFUNZO KUELEKEA MSIMU WA UTALIII
Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi. KATIKA kuhakikisha msimu wa Utalii (high season) unaoanza hivi karibuni unakuwa katika hali ya amani, Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Arusha limewakutanisha zaidi ya madereva 800 wanaobeba watalii kwa ajili ya kuwapatia mafunzo maalumu ya kuwajengea uwezo pindi wanapotoa huduma hiyo ya usafiri. Akifungua mafunzo…