DKT MOLLEL AIPONGEZA BMH, KWA UTOAJI TIBA ZA MAGONJWA MBALIMBALI.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma NAIBU Waziri wa afya DKt Godwin Mollel ameitaka hospitali ya Rufani ya Kanda ya Benjamin Mkapa (BMH),kutoka katika hatua ya kanda na kuelekea kuwa hospitali ya Taifa,kutokana na utoaji tiba za magonjwa mbalimbali ambayo awali matibabu hayo yalikuwa yakipatikana nje ya nchi. Dkt Mollel ameyazungumza hayo wakati akifunga mafunzo ya…