Wizara kutumia Sh277.04 bilioni kuboresha mawasiliano nchini

Dodoma. Bunge limeidhinisha Sh277.04 bilioni kwa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa miradi ya maendeleo, ndani yake zikiwamo Sh73 bilioni zitakazotumika katika ujenzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano, ambao ni nguzo muhimu katika kukuza na kuboresha teknolojia ya habari na mawasiliano nchini. Jumla ya fedha za Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya…

Read More

Mbetie Barcelona na ushinde zawadi kabambe kama: kompyuta mpakato za MacBook Pro 14, simu janja za iPhone 16 Pro Max na zaidi!

Hatua ya mwisho ya Barca 1xAccelerate – promosheni ya kipekee kutoka kwa kampuni ya kimataifa ya kubashiri ya 1xBet – inaanza hivi karibuni. Usikose nafasi yako ya kushinda zawadi kubwa! Zawadi gani 1xBet inatoa? Mtoa huduma wa mikeka anayeaminika ameandaa vifaa vya kisasa, jezi za michezo, na codes za promosheni kwa wateja wake. Orodha ya zawadi…

Read More

Dk Mpango ahimiza benki kutumia akili mnemba

Arusha. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amezihimiza taasisi za kifedha nchini kukumbatia matumizi ya teknolojia ya akili mnemba (AI), huku akisisitiza umuhimu wa kuongeza ulinzi wa mtandao. Pia, amezitaka taasisi hizo kuwekeza katika teknolojia za kisasa ili kupunguza gharama za uendeshaji, kuongeza ushirikishwaji na kuboresha uzoefu wa wateja. Akizungumza leo Ijumaa Mei 16, 2025…

Read More

Chadema yabadili gia angani kisa Golugwa kuzuiwa, yamtumia mke wa Lissu

Meatu. Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanikiwa kuwasilisha taarifa ya hali ya kisiasa nchini katika mkutano wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Duniani (IDU) unaofanyika mjini Brussels, Ubelgiji, licha ya Jeshi la Polisi kumkamata na kumzuia Naibu Katibu Mkuu wao, Amani Golugwa kuhudhuria mkutano huo. Akihutubia mkutano wa hadhara mjini Mwanhuzi wilayani Meatu leo…

Read More

Serikali yataka ‘kibano’ kwa wababaishaji sekta ya madini

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Yahya Semamba amekitaka Chama cha Watoa Huduma Sekta ya Madini (Tamisa) kuwa na makali ili kiweze kuwadhibiti wanachama wake wanaoleta janjajanja katika utoaji huduma. Amesema kufanya hivyo kutawasaidia wao kuaminika na kupewa kazi na wamiliki wa migodi, kwani watakuwa wakiwaamini, hali itakayoongeza ushiriki wa wazawa katika…

Read More

Mwili wa Padri Nkwera waagwa, kuzikwa kesho

Dar es Salaam. Mamia ya waumini wa kituo cha sala na maombezi cha Mama Bikira Maria (Marian Faith Healing), kilichokuwa kikiongozwa na Padri Felician Nkwera (89), walijitokeza jana katika misa na kuuaga mwili wa kiongozi huyo, shughuli iliyotawaliwa na vigelegele vikiambatana na vilio. Padri Nkwera ambaye muasisi wa kituo hicho alifariki dunia Mei 8, 2025…

Read More