Wanamaombi waaga mwili wa Padri Nkwera, kuzikwa kesho

Dar es Salaam. Mamia ya waumini wa kituo cha sala na maombezi cha Mama Bikira Maria (Marian Faith Healing), kilichokuwa kikiongozwa na Padri Felician Nkwera (89), walijitokeza jana katika misa na kuuaga mwili wa kiongozi huyo, shughuli iliyotawaliwa na vigelegele vikiambatana na vilio. Padri Nkwera ambaye muasisi wa kituo hicho alifariki dunia Mei 8, 2025…

Read More

BENKI YA DUNIA YARIDHISHWA NA UTEKELEZWAJI WA MIRADI YA REA

-Yaahidi kuendeleza ushirikiano -Ni miradi ya usambazaji umeme vitongojini na uhamasishaji wa matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia -Yaipongeza kuendelea kuchochea ubunifu na maendeleo ya teknolojia kwenye eneo la nishati safi ya kupikia na nishati mbadala -REA yaihakikishia kuendeleza usimamizi mzuri wa miradi Benki ya Dunia (WB) yaihakikishia ushirikiano Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa…

Read More

Minziro kukwepa mtego wa play-off

KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’ ametoa siku 10 kwa wachezaji kabla ya kurejea kujiandaa dhidi ya JKT Tanzania na KMC akizitaja kama ndizo za kukwepa mtego wa kuangukia kucheza mtoano. Tayari Kagera Sugar na KenGold zilizopo nafasi ya 16 na 15 mtawalia zimeshuka Ligi Kuu na vita iliyobaki ni kucheza mtoano (play…

Read More

Makundi ya kirafiki Simba yako hivi

KILA mtu na mtuwe na katika kundi kubwa la watu lazima kuwepo na vikundi vidogo vidogo ambavyo hata hivyo mara nyingi haviwezi kutenganisha kundi zima. Hivyo ndivyo ilivyo katika kikosi cha Simba ambacho pamoja na uhusiano mzuri uliopo wa kitimu, wapo wachezaji ambao wanaonekana kuwa na urafiki wa kushibana kiasi cha kupelekea mara kwa mara…

Read More

WATANZANIA, TUJENGE DESTURI YA KUVUNA MAJI YA MVUA

        :::::: Na Mwandishi Wetu Dodoma: Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kuhamasiaha watanzania kuwa na desturi ya kujenga miundombinu na kuvuna maji  ya mvua kwa kila msimu wa mvua ili kuwa na uhakika wa maji kwa kipindi cha mwaka mzima hususani kipindi cha kiangazi. Mkurugenzi Mkuu…

Read More