Kuimarisha viwanda, kutafuta masoko vipaumbele wizara ya biashara
Unguja. Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda imepanga kutekeleza vipaumbele vitatu vikuu katika mwaka wa fedha 2025/26, ambavyo vinalenga kuimarisha sekta ya viwanda na biashara, kupanua wigo wa masoko, pamoja na kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na utoaji wa huduma kwa ufanisi zaidi. Akisoma hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi leo Mei 16,…