WANAFUNZI SHULE YA MSINGI KIBUGUMO WASHIRIKI ‘MAHAKAMA KIFANI YA WATOTO’ IKIWA NI SEHEMU YA KAMPENI YA USALAMA BARABARANI

Katika kuadhimisha Wiki ya Usalama Barabarani Duniani (May 12 – 18, 2025), kampuni ya Puma Energy Tanzania kwa kushirikiana na shirika la Amend Tanzania wameendesha ‘Mahakama Kifani ya Watoto’ kuhusu usalama barabarani tukio ambalo ni sehemu muhimu ya programu ya kampeni ya elimu ya usalama barabarani kwa shule za msingi ambayo pia inajulikana kama ‘Be…

Read More

Mnyika atoa maagizo nafasi za waliohama Chadema

Simiyu. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika ameagiza kujazwa kwa haraka nafasi zote za uongozi zilizoachwa wazi na wanachama waliokihama chama hicho au kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Kwa mujibu wa Mnyika, hatua hiyo ni ya msingi katika kuimarisha muundo wa chama, kuboresha uendeshaji wa shughuli zake na kuendeleza harakati za…

Read More

Wanajeshi 200 wauawa Burkina Faso, al-Qaeda yatajwa

Ouagadogou. Kundi moja la wapiganaji linalofungamana na kundi la al-Qaeda, huko Afrika Magharibi limesema kuwa mashambulizi yake yamewaua wanajeshi 200 wa Burkina Faso katika kambi moja ya kijeshi nchini humo. Al Jazeera imeripoti leo Ijumaa Mei 16, 2025, kuwa kundi hilo maarufu kama Jama’a Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin, (JNIM) limefanya mashambulizi hayo kwa nyakati tofauti…

Read More

Wabunge waibana Serikali tozo kwa wajawazito wanapojifungua

Dodoma. Sakata la wanawake wajawazito kutozwa fedha wakati wa kujifungua limeibua mjadala bungeni leo na kusababisha baadhi ya wabunge kuomba mwongozo wa Spika ili kupata ufafanuzi wa kina kuhusu utekelezaji wa sera ya matibabu bure kwa wajawazito. Mapema leo Ijumaa, Mei 16, 2025, Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole (CCM), amehoji bungeni iwapo bado inatekelezwa Sera…

Read More

Neema ya madaraja kwa watumishi, Spika atia neno

Dodoma. Serikali imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuhakikisha wanawasilisha haraka majina ya watumishi wenye sifa za kupandishwa madaraja kabla ya mwisho wa Mei 2025 ili kuwawezesha kupandishwa madaraja kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma. Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu ametoa kauli…

Read More

HARAKATI ZA KUONDOA MAGUGU MAJI ZIWA VICTORIA WAANZA

 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mha. Cyprian Luhemeja akifuatilia zoezi la usafishaji Ziwa Victoria katika eneo lililoathirika na Gugu Maji eneo la Busisi wilayani Sengerema hadi eneo la Kigongo Feri wilayani Misungwi mkoani Mwanza, Mei 15, 2025. Zoezi hilo linaendelea kufanyika kwa njia mbalimbali kupitia vijana wanaokata kwa kutumia panga…

Read More

MAKALLA :UCHAGUZI HAUWEZI KUSOGEZWA ,CHADEMA JIPANGENI 2030

KILOSA: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uchaguzi hauwezi kusogezwa  mbele kwani wamejipanga kushiriki uchaguzi na hawawezi kuwa sehemu ya kuvunja katiba, hivyo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wajipange 2030. Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla ameeleza hayo leo Mei 15 wakati akizungumza na…

Read More