Kuongezeka kwa ghafla kwa mvutano wa biashara hutuma mshtuko kupitia uchumi wa ulimwengu – maswala ya ulimwengu

Shindano za bei zinazoendeshwa na ushuru zinaongeza hatari za mfumko, na kuacha uchumi unaotegemea biashara kuwa hatarini. Ushuru wa juu na sera za biashara zinazobadilika zinatishia kuvuruga minyororo ya usambazaji wa ulimwengu, kuongeza gharama za uzalishaji, na kuchelewesha maamuzi muhimu ya uwekezaji – yote haya kudhoofisha matarajio ya ukuaji wa ulimwengu. Kupungua kwa jumla Kushuka…

Read More

Fountain , KenGold ukilenga tu imooo

ACHANA na taarifa za kushuka daraja kwa KenGold na Kagera Sugar kuna timu ambazo Ligi Kuu Bara msimu huu, kila lango lao likilengwa huwa imoo, kwa kuruhusu mabao mengi hadi sasa ligi ikisaliwa na mechi za raundi mbili kufungia msimu mbali na kiporo cha Kariakoo Dabi. Fountain Gate iliyopo nafasi ya 14 ndiyo inayoongoza kwa…

Read More

Uwanja umeshainama kwa Jonathan Sowah

ILE kasi ya kufumania nyavu kwenye Ligi Kuu ya Jonathan Sowah tangu alipojiunga na Singida Black Stars ilikuwa inatisha sana na jamaa ghafla aliteka hisia za wengi ndani ya muda mfupi. Jamaa kaanza kucheza Ligi Kuu mwezi Januari tu mwaka huu baada ya kunaswa katika kipindi cha usajili cha dirisha dogo na akaweka kambani mara…

Read More

Jeuri ya Yanga ipo hapa

KIKOSI cha Yanga kinajiandaa kuondoka jijini Dar es Salaam leo Ijumaa, kwenda Tanga kwa ajili ya mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), ikiendelea kuupigia hesabu ubingwa wa Ligi Kuu ikiwa kileleni mwa msimamo na pointi 73 baada ya mechi 27, lakini ikifichua siri inayoibeba timu hiyo. Yanga inayoshikilia taji la Ligi Kuu…

Read More

Maxime azipigia hesabu dakika 180

KIPIGO cha mabao 5-0 ilichopata Dodoma Jiji kutoka kwa Azam FC ni kama kimemshtua kocha Mecky Maxime, aliyeliambia Mwanaspoti kwamba kwa sasa anajipanga kiufundi ili kukuhakikisha anazitumia mechi mbili zilizosalia ambao ni sawa na dakika 180 kujiokoa kucheza play off. Maxime alisema katika kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa ameamua kutoa likizo fupi ya wiki mbili…

Read More

Julio akoleza mzuka Morocco | Mwanaspoti

KOCHA Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ni miongoni wa Wanasimba walioambatana na timu hiyo kuja hapa Morocco na kukoleza mzuka kabla ya mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane, Jumamosi ijayo na kama kawaida yake amekoleza mzuka kwa kuhamasisha mastaa. Mechi hiyo itachezwa saa 1:00 usiku kwa saa za hapa…

Read More

Sababu za mechi ya marudiano kupigwa Zenji

TAARIFA mbaya kwa Simba ni Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limeuondoa mechi ya marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba na RS Bekrane kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa hadi New Amaan, Zanzibar. Mechi hiyo imepangwa kuchezwa Jumamosi ijayo na awali ilikuwa ilikuwa ipigwe Kwa Mkapa na wenyeji Simba walishaanza kuuza baadhi…

Read More