Raphael Kinda anayesaka Sh2 milioni kujitibu

Masahibu ya majeraha kama haya yamewakumba wachezaji wengi, ambapo yupo pia kinda mwenye kipaji kikubwa ndani ya Singida Black Stars, Helman Raphael  ambaye anapambana na majeraha makubwa ya kuchanika nyama za paja. Raphael ambaye kabla ya kujiunga na Singida alikuwa akiwania na klabu mbalimbali kutokana na kipaji chake, ameshindwa kuwa na maisha mazuri ndani ya…

Read More

Hizi hapa faida, hasara kuoga na sabuni

Kuoga ni sehemu muhimu ya usafi wa mwili na afya ya binadamu. Katika maisha ya kila siku, tunakumbana na vumbi, jasho, mafuta ya mwili, na vijidudu mbalimbali kutoka mazingira yanayotuzunguka. Kwa sababu hiyo, kuoga husaidia kuondoa uchafu, kuleta hali ya usafi, na kuboresha afya ya ngozi. Hata hivyo, kuna swali ambalo huibuka;  je, lazima tuoge…

Read More

Wastaafu hatujasikilizwa kwenye hili | Mwananchi

Mstaafu bado anaugulia maumivu yake aliyozawadiwa na mheshimiwa waziri mmoja wa Siri-kali Oktoba mwaka jana, aliyetangaza hadharani na mbele ya waandishi wa habari kuwa Siri-kali ilikuwa imeamua kuwaongeza wastaafu shilingi elfu hamsini kwenye pensheni yao ya mwezi ya “laki si pesa” kuanzia Januari mwaka huu.Baada ya miaka 21 ya kuomba, kutaka na kuomboleza kuhusu kuhitaji…

Read More

Je, lazima kuoga kwa sabuni?

Kuoga ni sehemu muhimu ya usafi wa mwili na afya ya binadamu. Katika maisha ya kila siku, tunakumbana na vumbi, jasho, mafuta ya mwili, na vijidudu mbalimbali kutoka mazingira yanayotuzunguka. Kwa sababu hiyo, kuoga husaidia kuondoa uchafu, kuleta hali ya usafi, na kuboresha afya ya ngozi. Hata hivyo, kuna swali ambalo huibuka;  je, lazima tuoge…

Read More

UN inahitajika ‘zaidi kuliko hapo awali’ anasema mgombea wa Ujerumani kwa Mkutano Mkuu wa Kiongozi – maswala ya ulimwengu

Annalena Baerbock aliwasilisha vipaumbele vyake wakati wa mazungumzo rasmi na nchi wanachama zilizofanyika Alhamisi katika makao makuu huko New York. Ikiwa amechaguliwa, atakuwa tu Mwanamke wa tano Kuongoza chombo kikuu cha kutengeneza sera na shirika la mwakilishi zaidi, linajumuisha nchi zote wanachama 193 ambazo huchagua rais mpya kila mwaka, kuzunguka kati ya vikundi vya mkoa….

Read More

Malengo ya Ibada ya Hija katika Uislamu

Dar es Salaam. Hijja ni nguzo ya tano katika Uislamu, ibada hii inabeba maana na malengo makubwa yanayowafanya Waislamu kuwa na shauku kubwa ya kuitekeleza. Miongoni mwa malengo hayo ni yafuatayo: Mojawapo ya malengo ya kwanza yanayodhihirika wazi, ni vazi la Ihramu, ambalo huvaa hujaji, kupitia vazi hilo humkumbusha makazi ya mwanzo ya kuelekea Akhera,…

Read More

Kengele ya hatari wanaolala saa chache

Geita. Katika dunia ya sasa iliyojaa starehe,matumizi ya  vifaa vya mawasiliano, usiku ni kama umepoteza jukumu lake la asili. Wakati kiasili, usiku ni muda wa kupumzika, hivi sasa muda huo ndio unaotumika kwa wengi kufanya starehe.  Ukiondoa kundi hili, lipo kundi jingine ambalo usiku ndio muda mwafaka wa kukesha wakicheza na vifaa vyao vya mawasiliano…

Read More

Waarabu wataka mwingine Yanga | Mwanaspoti

WAARABU ni kama wamenogewa na mastaa wa Yanga. Wameanza na Stephane Aziz KI. Kiungo mshambuliaji huyo ametajwa kuwindwa na Wydad Casablanca mwishoni mwa msimu. Kisha Clement Mzize naye kutajwa kuwindwa na timu kadhaa za Kiarabu. Lakini mambo yakiwa hivyo, sasa inadaiwa, kiungo Duke Abuya ambaye amekiwasha sana, ameingia anga ya JS Kabylie ya Algeria iliyoanza…

Read More