Vita ulaji vyakula vya asili na vya kisasa janga jipya
Dar es Salaam. Katika miji yenye shughuli nyingi kama Dar es Salaam, Lagos Nairobi na mingineyo barani Afrika, harufu ya vyakula vya haraka na vilivyosindikwa ( junk foods) inashindana na pengine hata kuzidi harufu ya vyakula vya jadi vinavyopikwa na wauzaji wa mitaani. Afrika, bara lenye urithi tajiri wa upishi, linashuhudia mabadiliko makubwa ya lishe, ambayo sasa…