Moussa Camara atafutiwa dawa Morocco
MABAO ya mbali ambayo kipa Moussa Camara amekuwa akifungwa msimu huu yamelishtua benchi la ufundi la Simba ambalo sasa limeonekana kuwa makini kutafuta dawa ya kutibu tatizo hilo kabla ya kesho kushuka uwanjani ugenini dhidi ya RS Berkane katika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Camara ameruhusu mabao 17 katika mechi za mashindano yote ikiwamo…