Raphael Kinda anayesaka Sh2milioni kujitibu
Masahibu ya majeraha kama haya yamewakumba wachezaji wengi, ambapo yupo pia kinda mwenye kipaji kikubwa ndani ya Singida Black Stars, Helman Raphael ambaye anapambana na majeraha makubwa ya kuchanika nyama za paja. Raphael ambaye kabla ya kujiunga na Singida alikuwa akiwania na klabu mbalimbali kutokana na kipaji chake, ameshindwa kuwa na maisha mazuri ndani ya…