Wizara ya Madini yahamia rasmi mji wa Serikali, yatangaza mikakati yake.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma WIZARA ya Madini imehamia rasmi katika ofisi zake za mji wa serikali,huku ikitangaza mikakati rasmi ya utendaji kazi wao,ili kuweza kufikia malengo waliojiwekea hususani kuwaendeleza wachimbaji wadogo. Mbali na hilo waziri wa wizara hiyo Antony Mavunde amewasisitiza watumishi kuendelea kuchapa kazi kwa bidii ili waweze kutoa huduma stahiki kwa jamii…