Mfalme Zumaridi akamatwa Mwanza | Mwananchi
Mwanza. Diana Bundala, maarufu Mfalme Zumaridi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kugeuza makazi yake kuwa kanisa, kuendesha shughuli za kidini bila usajili na kuhubiri kwa sauti ya juu. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa jioni ya leo Alhamisi Mei 15, 2025 imesema Zumaridi ambaye ni…