Baada ya tizi la siku mbili, Simba yaifuata Berkane kimkakati
KIKOSI cha Simba kilichokuwa kimejichimbia na kupiga tizi la siku mbili jijini Casablanca, Morocco, inajiandaa kuondoka ikiongoza msafara wa wachezaji, viongozi na watu wengine walio, katika msafara wa timu hiyo kwenda Berkane saa chache zijazo. Msafara huo utaondoka hapa Casablanca kuanzia saa 11 jioni kwenda Berkane ambako mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la…