Polisi waanza uchunguzi vitisho dhidi ya Askofu Bagonza, bado Mwabukusi
Dar es Salaam. Nani waliowatishia hawa? Ni swali linalosubiri majibu baada ya Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi kusema wametishi na Jeshi la Polisi likianza kuchunguza mojawapo. Wawili hao kwa nyakati tofauti wameeleza kuwa tayari wamewasilisha taarifa kwa…