KAILIMA AONYA WATAKAOVURUGA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Sambamba na hayo amewataka wananchi kuacha tabia ya kuchana au kuharibu karatasi za orodha ya wapiga kura zilizobandikwa kwenye vituo vya kujiandikishia kwani kitendo hicho kinaweza kuzuia watu wengine kuhakiki taarifa zao, jambo ambalo linaweza kuwanyima haki yao ya kupiga kura iwapo taarifa zitakuwa na hitilafu. Kwa upande wake, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kilosa…

Read More

Kamati ya Bunge yaiomba Serikali kuiongezea bajeti Wizara ya Viwanda na Biashara.

Na Janeth Raphael MichuziTv -Bungeni Dodoma. KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,Biashara,Kilimo na Mifugo imeiomba Serikali kuiongezea bajeti na kuhakikisha inatolewa yote ya Wizara ya Viwanda na Biashara ili kufanikisha Mapinduzi ya Viwanda. Ushauri huo umetolewa na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo,Mariamu Ditopile wakati akiwasilisha maoni ya kamati hiyo kwa mwaka wa fedha 2025-2026…

Read More

Mbunge ataka udhibiti unywaji pombe treni za usiku SGR

Mbunge wa Viti Maalumu, Mwantum Dau Haji, ameitaka Serikali kuchukua hatua za kudhibiti unywaji wa pombe ndani ya treni za Reli ya Kisasa (SGR), hususan zile zinazofanya safari za usiku, akisema hali hiyo inahatarisha utulivu na usalama wa abiria. Akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Alhamisi, Mei…

Read More

Jose Mujica: Rais maskini duniani

Uruguay. Ni nadra kukutana na mtu aliyeongoza mapigano ya msituni akajitokeza hadharani kupambana na mfumo uliopo madarakani kisha kuchaguliwa kuwa Rais wa nchi. Anayezungumziwa hapa ni Jose ‘Pepe’ Mujica (89), aliyekuwa Rais wa Uruguay kati ya kati ya mwaka 2010-2015. Kifo cha Mujica kilitangazwa juzi Jumanne na Rais wa nchi hiyo, Yamandu Orsi, kupitia mitandao…

Read More