ose Mujica: Rais maskini duniani
Uruguay. Ni nadra kukutana na mtu aliyeongoza mapigano ya msituni akajitokeza hadharani kupambana na mfumo uliopo madarakani kisha kuchaguliwa kuwa Rais wa nchi. Anayezungumziwa hapa ni Jose ‘Pepe’ Mujica (89), aliyekuwa Rais wa Uruguay kati ya kati ya mwaka 2010-2015. Kifo cha Mujica kilitangazwa juzi Jumanne na Rais wa nchi hiyo, Yamandu Orsi, kupitia mitandao…