Yanga ijipange hasa kwa Mokwena
TUMEONA na kusikia tetesi miongoni mwa makocha ambao Yanga inawapigia chapuo kurithi mikoba ya Miloud Hamdi ni aliyekuwa Kocha wa Wydad Casablanca, Rulani Mokwena. Habari hii imetusisimua wengi hapa maskani maana Mokwena ni kocha mkubwa sana Afrika hivi sasa na wasifu wake unajieleza wala hakuna haja na sababu ya kubishana katika hilo. Hauwezi kusema kocha…