Wasauzi wawafuata Diarra, Mutale | Mwanaspoti
KOCHA Mkuu wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi, Jumatano wiki hii alikuwa jukwaani KMC Complex, jijini Dar es Salaam ili kushuhudia kiporo cha Ligi Kuu Bara kati ya Simba na Singida BS, ikiwa ni saa chache tangu atoke kuwasilisha ripoti ya usajili ya timu hiyo akitaka kuboresha kikosi kwa msimu ujao. Lengo kuu la Nabi kuwa…