‘VIWANGO VYA UJENZI WA SHULE ZA SERIKALI KUREJESHA UBORA’

… …………….. NCC kuhakikisha vinadhibiti utoro, hasara kwa matengenezo ya kila wakati SERIKALI kupitia Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC), lililo chini ya Wizara ya Ujenzi, imetekeleza ahadi yake kwa kuhakikisha viwango na viwango msawazo vya ujenzi bora wa majengo ya shule zake za awali, amali na sekondari vinaandaliwa, ili sekta husika ya elimu ivizingatie…

Read More

Benki ya CRDB yawakaribisha Wanahisa kwenye Mkutano Mkuu wa 30

 Taarifa hiyo imetolewa leo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye hoteli ya Gran Meliá, jijini Arusha, ambapo Benki ya CRDB pia ilizindua Ripoti yake ya Mwaka 2024, inayoonyesha maendeleo makubwa ya kifedha, kiutendaji na kijamii yaliyopatikana katika kipindi hicho.   Akizungumza katika mkutano huo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Dkt….

Read More

Walichokubaliana Rais Samia, Stubb wa Finland

Dar es Salaam. Serikali za Tanzania na Finland zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika maeneo mbalimbali huku zikiibua ushirikiano kwenye maeneo mapya kwa manufaa ya wananchi wa pande zote mbili. Hayo yamebainishwa leo Jumatano Mei 14, 2025 Ikulu jijini Dar es Salaam na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na mgeni wake, Rais wa Finland, Alenxander Stubb ambaye…

Read More

Charles Hilary azikwa kwao Zanzibar, wakongwe wamlilia

Unguja. Wakati safari ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Charles Hillary ikitamatika rasmi kwa kupumzishwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja, baadhi ya waandishi na watangazaji wakongwe wamemzungumzia kama mtu aliyekuwa chachu ya mabadiliko katika sekta ya habari. Charles alizaliwa October 22,1959…

Read More