Simba yapewa nondo za kukwepa mtego wa Berkane

SIMBA tayari ipo Morocco ikijichimbia jijini Casablanca ili kujiandaa na mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika itakayopigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Manispaa mjini Berkane, huku kikosi hicho kikipewa nondo muhimu za kuukwepa mtego  wa wenyeji wao RS Berkane. Simba itavaana na RS Berkane katika mechi hiyo ya mkondo wa kwanza kabla…

Read More

Kitendawili, vita ya majimbo mapya

Dar/mikoani. Ingawa mgawanyo wa majimbo uliofanywa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) unahusishwa na mbinu ya kupunguza joto la ushindani katika baadhi ya majimbo, kitendawili kimebaki ni wapi kati ya mapya au yale ya zamani wabunge wanaoendelea wataenda kugombea. Wakati kitendawili hicho kikiendelea, joto la kisiasa linaendelea kupamba moto hata katika majimbo mapya,…

Read More

Charles Hillary azikwa kwao Zanzibar, wakongwe wamlilia

Unguja. Wakati safari ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Charles Hillary ikitamatika rasmi kwa kupumzishwa katika makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja, baadhi ya waandishi na watangazaji wakongwe wamemzungumzia kama mtu aliyekuwa chachu ya mabadiliko katika sekta ya habari. Charles alizaliwa October 22,1959…

Read More

Dk Mpango: Nikistaafu, nitaingia rasmi kwenye kilimo

Iringa. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema muda wake wa kulitumikia Taifa kupitia nafasi za uongozi unafikia mwisho na sasa anajiandaa kwenda kwenye kilimo. Tayari Dk Mpango ameshaomba kwa Rais Samia Suluhu Hassan kupumzika, naye akamkubalia na mkutano mkuu CCM wa Januari 18 na 19, 2025 ulimpitisha Katibu Mkuu wa chama hicho,…

Read More

Bodaboda kizimbani akidaiwa kumuua mwanaye

‎Iringa. Dereva wa bodaboda, Joseph Muhulila amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa akishtakiwa kwa mauaji ya kukusudia kwa kumkatakata mwanaye wa kumzaa, Timotheo Muhulila (6). ‎‎Muhulila (28) anadaiwa kutenda kosa hilo Aprili 11, 2025 katika Mtaa wa Lukosi, Kata ya Mkwawa, Manispaa ya Iringa. ‎Mshtakiwa amefikishwa kwa mara ya kwanza mahakamani hapo leo Mei…

Read More