Chadema bado hakujatulia, viongozi Shinyanga wajivua uanachama

Shinyanga. Wanazidi kukibungua chama, ndiyo unavyoweza kusema baada ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) mkoani Shinyanga akiwemo aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wanawake (Bawacha) mkoani humo,  Furahisha Wambura, na wanachama wengine wametangaza kujivua uanachama wa chama hicho. Akizungumza na wanahabari leo Mei 14, 2025, kwa niaba ya viongozi wengine, Wambura amesema,…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR AJUMUIKA NA WANANCHI NA VIONGOZI MBALIIMBALI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU CHARLES MARTIN HILARY VIWANJA VYA MAPINDUZI SQUARE MICHEZANI ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa kuagwa kwa mwili wa Marehemu Charles Martin Hilary aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo 14-5-2025.(Picha na Ikulu) /RAIS wa Zanzibar…

Read More

KenGold yawaganda mastaa, yaahidi kurudi upya Ligi Kuu

PAMOJA na kukubali kushuka daraja, kocha mkuu wa KenGold, Omary Kapilima amesema wanafanya kila linalowezekana kuwashawishi mastaa waliofanya vizuri kikosini ili wabaki nao kwa ajili ya kupambana katika Ligi ya Championship kwa lengo la kurudi upya katika Ligi Kuu Bara. KenGold imeshuka daraja baada ya kushiriki Ligi Kuu msimu mmoja tu na sasa wanasubiria kucheza…

Read More

Kuelekea Siku Ya VipimoDuniani; umuhimu wa vipimo vifaa vya hospitali na miradi ya ujenzi

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limezishauri Hospitali na vituo vya afya nchini kuhakikisha wanafanya uhakiki wa vipimo vya afya mara kwa mara ili kuepusha uwezekano wa kupata majibu yasiyo na usahihi pindi wanapotoa huduma kwa wagonjwa. Ameyasema hayo leo Mei 14, 2025 Jijini Dar es Salaam, Afisa Metrolojia Mwandamizi wa TBS Anectus Ndunguru wakati akizungumza…

Read More

Beki Azam aandika rekodi mbili Bara

BAO moja lililofungwa na beki wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda katika ushindi wa kikosi hicho wa mabao 5-0, dhidi ya Dodoma Jiji, Mei 13, 2025, limemfanya nyota huyo kuandika rekodi mbili muhimu, huku akiwa na msimu bora na timu hiyo hadi sasa. Lusajo alifunga bao katika dk6, akiunganisha kwa kichwa mpira wa kona uliopigwa na…

Read More

EWURA YAWAFIKIA WADAU WA SEKTA NDOGO YA MAFUTA JIJINI MWANZA

Na.Mwandishi Wetu-MWANZA WANANCHI wa Kanda ya Ziwa wametakiwa kutumia Nishati Safi ya kupikia ya Gesi na Umeme ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kutokana na matumizi ya Nishati Chafu. Hayo yameelezwa na Meneja wa EWURA Kanda ya Ziwa, George Mhina,wakati wa mafunzo ya siku moja kwa wadau wa Sekta ndogo ya mafuta yaliyofanyika jijini Mwanza yaliyoandaliwa…

Read More

Ubingwa WPL… Yanga yatibua hesabu za Simba

KIPIGO cha mabao 2-0 ilichopata jioni hii Yanga Princess mbele ya JKT Queens kimetibua hesabu za watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), Simba Queens katika mbio za ubingwa kwa msimu huu. Yanga Princess ilikubali kichapo hicho kwenye Uwanja wa KMC Complezxx, Mwenge Dar es Salaam na kuiwezesha JKT kurejea kileleni ikiing’opa Simba Queens inayotetea…

Read More