WMA YAHAKIKI VIPIMO ASILIMIA 99 YA LENGO

Veronica Simba – WMA Serikali kupitia Wakala wa Vipimo (WMA) nchini imekagua na kuhakiki vipimo 1,013,859 ambavyo ni sawa na asilimia 99.2 ya lengo la kukagua vipimo 1,022,342 katika mwaka wa fedha 2024/2025. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amebainisha hayo bungeni Dodoma leo, Mei 14, 2025 wakati akiwasilisha hotuba ya makadirio ya…

Read More

Watatu mbaroni wakituhumiwa kumuua Scolastica ‘gesti’

Mwanza. Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya Scolastica Lugalila (40) aliyeuawa Machi 19, 2025 katika nyumba ya kulala wageni ya ‘First and Last Gest’ iliyopo kata ya Usagara, wilayani Misungwi. Scolastica ambaye awali hakufahamika, alikutwa amefariki dunia kwenye chumba namba tatu cha gesti hiyo huku akiwa amefungwa kitambaa usoni, chanzo…

Read More

Watoa huduma sekta ya madini waja kivingine

Dar es Salaam. Watoa huduma katika sekta ya madini wameanzisha umoja wao ambao utawawezesha kupeana taarifa na kuongeza ushiriki wa wazawa katika sekta ya madini. Umoja huo pia unalenga kuhakikisha watoa huduma hao wanakuwa miongoni mwa wanufaika katika Sh3.1 trilioni zinazotumika kila mwaka katika ununuzi wa madini. Mwamvuli huo uliopewa jina la Tamisa ikiwa ni…

Read More

Mitandao kinara ya kijamii 2025, fursa zake kiuchumi

Dar es Salaam. Katika ulimwengu wa kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya walio wengi, ikiunganisha mabilioni ya watumiaji duniani kote. Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, idadi ya watu duniani imefikia takriban bilioni 8.2 huku watumiaji wa mtandao wakiwa bilioni 5.56, wanaotumia simu za mkononi wakiwa bilioni 5.78, na wale…

Read More

Afya ya hakimu yakwamisha kesi ya kughushi msamaha wa Rais 

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Gereza la Ukonga, Josephat Mkama na wenzake wawili kutokana na hali ya afya ya hakimu. Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni aliyekuwa ofisa Tehama wa gereza hilo, Sibuti Nyabuya na mfanyabiashara, Joseph Mpangala, mkazi wa Mbezi….

Read More