EPUKENI KUJIHUSISHA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WANAFUNZI.
Na Issa Mwadangala Wasafirishaji wa abiria kwa kutumia pikipiki (Bodaboda) kijiwe cha Shingo feni kilichopo Kijiji cha Lumbila Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wametakiwa kuepukana na vitendo vya kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi ikiwa ni pamoja na kufuata na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepukana na ajali ambazo zinaweza kusababisha madhara makubwa…