Sh7 bilioni za Serikali zalala benki, wafanyabiashara wadogo wakisuasua kuzikopa
Geita. Licha ya Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kutenga Sh8 bilioni kwa ajili ya mikopo ya riba nafuu kwa wafanyabiashara wadogo, hadi sasa ni Sh700 milioni pekee zilizokopwa. Mwitikio mdogo wa kuchukua mikopo hiyo umekuwa changamoto, licha ya nia ya Serikali ya kuwawezesha wafanyabiashara wa kipato cha chini…