Ali Choki Afichua Siri Ya Urafiki Wake Na Omari Seseme – Video – Global Publishers
Last updated May 14, 2025 Kiwanda cha muziki wa Dansi Tanzania kimepata pigo la kuondokewa na miongoni mwa magwiji wa muziki huo Omary Seseme. Seseme alikuwa mwanamuziki wa dansi ambaye alitamba sana akiwa na Bendi ya Sikinde ambapo inaelezwa kuwa alikutwa amefariki nyumbani kwake, Ukonga jijini Dar es Salaam. Global Tav…