Josiah anazitaka nne ngumu Tanzania Prisons

USHINDI katika mechi nne mfululizo umeonekana kuipa nguvu Tanzania Prisons, huku Kocha Mkuu wa timu hiyo, Aman Josiah akiamini mechi mbili zilizobaki dhidi ya Yanga na Singida Black Stars atapata pointi nne anazozitaka ili timu iwe salama. Ushindi wa pointi nne ambazo zinaonekana kuwa ngumu utakinasua moja kwa moja kikosi hicho na janga la kushuka…

Read More

Mambo matatu kuibeba Simba Morocco

KOCHA wa Simba, Msauzi Fadlu Davids anaamini kuna mambo matatu muhimu ambayo yanaweza kuibeba Simba kwenye mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco Jumamosi hii. Simba ambayo itaweka kambi ya siku kadhaa nchini Morocco kuanzia Jumatano hii, itakuwa pia na programu ya mazoezi ikilenga kuzoea hali…

Read More

Fyatu anaweza kuzuia kutupiwa-tupiwa viatu

Baada ya mafyatu wa kaya jirani kumfyatua fyatu wao mnene, nimeogopa. Si juzi walimfyatua kwa kiatu kiasi cha kumtia aibu na gadhabu! Sijui hakupata shinikizo la moyo kwa namna alivyoaibishwa mchana kweupe. Japo simsikitikii, amenisaidia kuanza kujihami. Maana mafyatu wangu kwa kuigiza, asikwambie fyatu. Hivyo, nina mikakati ya kuepuka aibu hii. Ni aibu kiasi gani…

Read More

TUTAKWENDA KUWA CHACHU YA UONGOZI – MKURUGENZI TACAIDS

Na Khadija Kalili, Michuzi Tv WAHITIMU wa mafunzo kutoka Taasisi za Umma na wametakiwa kwenda kuwa mabalozi wazuri na kuleta mabadiliko katika sehemu wanazoziongoza sambamba na kuwathamini wananchi wa hali ya chini. “Elimu hii mliyoipata katika mafunzo yenu ya siku tano mkaifikishe mbali , binafsi nimevutiwa sana na mbinu za mafunzo haya ambapo Uongozi wa…

Read More

Huu ndio msimamo wa Rungwe kwa makada Chadema

Dar es Salaam. Wakati jinamizi likiendelea kukitikisa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mamia ya wanachama wake wametangaza kukihama chama hicho huku wakitajwa kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Licha ya kwamba wanachama hao hawajaweka bayana chama wanachokwenda kujiunga, duru za ndani zinaeleza kwamba waliokuwa viongozi na wanachama wengine wanakusudia kujiunga na Chaumma kuendeleza…

Read More