Rais wa Finland kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

Dar es Salaam. Rais wa Finland, Alerander Stubb anatarajia kufanya ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia kesho Jumatano, Mei 14, 2025 nchini Tanzania. Baada ya kuwasili, Stubb atapokewa na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Magogoni jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa leo Jumanne, Mei 13, 2025 na Naibu Mkurugenzi wa…

Read More

Walanguzi tisa wa tumbaku mbaroni wakidaiwa kwa wizi

Tabora. Watu tisa, wakiwemo raia watatu wa Kenya, wafanyabiashara kutoka wilayani Serengeti mkoani Mara na baadhi ya watumishi wa kampuni ya ununuzi wa tumbaku ya Global Leaf,  wamefikishwa mahakamani kwa kesi ya Uhujumu uchumi, wakituhumiwa kwa ulanguzi na utoroshaji wa mabelo 452 ya tumbaku. Washtakiwa hao katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 11376 ya…

Read More

Meridianbet Inakupatia Mpunga wa Maana Leo

NI Jumanne tulivu kabisa ya wewe kuondoka na kitita cha maana ndani ya wakali wa ubashiri ambapo mechi kibao leo hii Duniani kuendelea. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa na ushindie sasa. Ligi kuu ya Hispania maarufu kama LALIGA leo hii kuna mitanange ya maana itaendelea ambapo Girona baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo…

Read More

MAWAZIRI WA SADC WAKUTANA KUJADILI USIMAMIZI WA MAAFA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Ummy Nderiananga, ameshiriki mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wanaohusika na Usimamizi wa Maafa kwa Nchi Wanachama wa SADC, uliofanyika leo tarehe 13 Mei 2025 kwa njia ya mtandao. Mkutano huo wa dharura umelenga kujadili hatua za kuimarisha mfumo wa usimamizi wa maafa…

Read More

KUMEKUCHA: Waliokuwa ‘team’ Mbowe watema nyongo, wawashangaa waliojiengua

Dar es Salaam. Usemi wa “ukimwaga mboga, namwaga ugali” unaonekana kuchukua sura halisi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufuatia kuibuka kwa kundi la makada waliowahi kumuunga mkono aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kipindi cha uchaguzi mkuu ndani ya chama hicho, ambao sasa wanawashangaa wenzao wanaojiondoa kwa madai ya kubaguliwa. Kwa…

Read More

Ulega akoleza moto, aunda kamati kuchunguza kivuko

Dar es Salaam. Siku moja baada ya kumsimamisha mkandarasi anayejenga barabara ya Mkange hadi Bagamoyo (Makurunge) mkoani Pwani, Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameunda timu ya wataalamu na kuchunguza changamoto za mara kwa mara katika Kivuko cha MV TANGA. Kivuko hicho kilichopo wilayani Pangani mkoani Pwani, baada ya kupokea malalamiko ya wananchi kuhusu kusuasua kwa…

Read More