Chadema yamjibu Msajili sakata la uteuzi

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemjibu Msajili wa Vyama vya Siasa, kikisema hakitabadilisha chochote katika maelekezo waliyopewa na ofisi hiyo, kwa maelezo kuwa walishafunga  mjadala kuhusu kikao cha Baraza Kuu. Msimamo huo wa Chadema umekuja baada ya jana Jumatatu Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, kutengua uteuzi wa wajumbe wanane…

Read More

Ponografia za watoto mtandaoni zaongezeka, wadau wataka udhibiti

Dar es Salaam. Wadau wametaka sheria kali zichukuliwe kwa watu wanaosambaza ponographia za watoto katika mitandao ya kijamii ili iwe fundisho kwa wengine wanaotamani kufanya hivyo. Hilo liende sambamba na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuimarisha ushirikiano na kampuni kubwa zinazomiliki mitandao ya kijamii kama Meta, ili kusaidia kudhibiti maudhui hayo moja kwa moja ikiwa…

Read More

ULEGA AUNDA TIMU KUCHUNGUZA KIVUKO CHA MV TANGA

:::::: Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameunda timu ya wataalamu na kuipa siku saba kuchunguza changamoto zinazojitokeza mara kwa mara katika Kivuko cha MV TANGA kilichopo wilayani Pangani, mkoani Tanga, baada ya kupokea malalamiko ya wananchi kuhusu kusuasua kwa utendaji wake. Akizungumza kwa nyakati tofauti mkoani humo, Ulega amesema serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan…

Read More

Treni ya Mwakyembe yapata ajali, chanzo chatajwa

Dar es Salaam. Treni ya abiria katika jiji la Dar es Salaam, inayofanya safari zake kati ya Kariakoo na Pugu, imepata ajali huku sababu ikitajwa kuwa ni mabehewa matatu kuacha njia. Katika ajali hiyo, watu saba walijeruhiwa na kupelekwa hospitali ya Amana, hata hivyo walipata msaada wa haraka kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Akizungumza…

Read More

WANAFUNZI WATUMIA MITUMBWI MIAKA 10 KWENDA S

Wananchi wa Iyozu wakivuka na mtumbwi kuingia upande wa pili.::::::::: Na Daniel Limbe,Torch media WANAFUNZI wa kitongoji cha Iyozu kata ya Muungano wilayani Chato mkoani Geita wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka kwenye makazi yao kwenda shuleni kutokana na mvua kubwa zilizonyesha miaka 13 iliyopita kukata mawasiliano ya kitongoji hicho kwenda kwenye kijiji cha Rubambangwe. Inaelezwa kuwa…

Read More

Wabunge walia na upungufu, ubora wa walimu

Dodoma. Uhaba wa walimu na upatikanaji wenye ubora watakaoendana na mtaala mpya wa mafunzo ya amali unaotumika sasa umekuwa ndiyo kilio cha wabunge wakiitaka Serikali itatue changamoto hiyo haraka. Hayo yamejitokeza katika mjadala wa siku mbili jana na leo Jumanne, Mei 13, 2025, kuhusu bajeti ya Wizara ya Wizara ya Elimu kwa mwaka 2025/26, iliyowasilishwa…

Read More

Dube aendeleza moto, Yanga ikijikita kileleni

YANGA haijapoa, imeendelea kugawa vipigo ikiichapa Namungo ya Lindi mabao 3-0 huku majukwaani wakiendelea kupaza sauti kwamba ‘Hatuchezi’. Ushindi huo ambao Yanga ilikuwa inacheza mechi yake ya 27 msimu huu, unakuwa wa 24 ikiendelea kujikita kileleni mwa msimamo ikifikisha pointi 73. DAKIKA 23 NGUMUDakika 23 za kwanza zilikuwa ngumu kuamini kama Namungo ingepoteza kwa idadi…

Read More