Meli kubwa nne kujengwa Ziwa Tanganyika, wabunge wanena
Katavi. Wananchi wa mikoa inayopitiwa na Ziwa Tanganyika Rukwa, Katavi na Kigoma watanufaika baada ya kukamilika kwa ujenzi wa meli kubwa nne za mizigo zinazojengwa katika Bandari ya Karema. Meli hizo ambazo kila moja itakuwa na uwezo wa kubeba tani 60,000 kwa mwezi, ujenzi wake unatarajia kukamilika Julai, 2026 na tayari wananchi wa eneo la…