MIRADI 80 IPO KATIKA HATUA ZA UTEKELEZAJI KWA UTARATIBU WA PPP
Na. Josephine Majura, WF, Dodoma Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), amesema kuwa miradi 80 imewezeshwa na Serikali na ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji kwa utaratibu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP). Aliyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbeya Vijijini, Mhe….