Polisi yatoa sababu kumshikilia Golugwa wa Chadema

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linamshikilia Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-bara, Aman Golugwa kwa uchunguzi wa tuhuma za kusafiri kwa siri kwenda na kurudi nje ya Tanzania. Taarifa ya jeshi hilo iliyotolewa mchana wa leo Jumanne, Mei 13, 2025 imesema Golugwa amekamatwa saa 6:45 usiku Uwanja wa…

Read More

Sababu Traoré kuwa kivutio ulimwenguni

Dar es Salaam. Ukiacha kina Julius Nyerere, Nelson Mandela, Kwame Nkurumah na Eduardo Mondlane walionasibishwa na jina la ‘Mtoto wa Afrika’ hatimaye linaibuka tena katika karne ya 21 kwa mkuu wa nchi mdogo zaidi kiumri duniani, Ibrahim Traoré. Traoré mwenye umri wa miaka 37, ndiye Rais wa Burkina Faso, tangu Septemba mwaka 2022 alipompindua, Luteni…

Read More

Kamati ya maadili TFF yamfungia katibu mkuu DRFA

Dar es Salaam. Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imemfungia Ramadhan Missiru, Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), kutojihusisha na shughuli zozote za mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka sita. Missiru alipatikana na hatia ya makosa mawili ya ukiukwaji wa maadili yaliyobainishwa…

Read More

Ofisi ya CAG yakana kuficha dosari za Serikali

Dar es Salaam. Ofisi ya Taifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imesema hakuna dosari zozote zinazofichwa kwenye ripoti za ukaguzi zinazotolewa na ofisi hiyo kwenye mashirika ya umma. Kauli hiyo ni jibu la maswali ya wawakilishi wa asasi za kirai waliopatiwa mafunzo ya ukaguzi na ofisi hiyo ambao waliohoji madai…

Read More

Msajili atengua uteuzi wa vigogo Chadema

Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetengua uteuzi wa wajumbe wanane wa sekretarieti na kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliothibitishwa na Baraza Kuu la chama hicho Januari 22, 2025.  Mbali na kutengua, ofisi hiyo imetoa maelekezo kwa chama hicho kikuu cha upinzani nchini yanayopaswa kufanyiwa kazi ili…

Read More

CHATO WAIPONGEZA INEC RAIS SAMIA

Ramani ya majimbo ya Chato kaskazini na Chato kusini. ……………. Na Daniel Limbe,Torch media  SIKU moja baada ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kutangaza majimbo mapya nane ya likiwemo la Chato kusini, wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wilayani Chato mkoani Geita wameipongeza serikali ya awamu ya sita kwa kuandika historia mpya ya kupatikana…

Read More