VITUO 413 KUTUMIKA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI DODOMA
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule amewahimiza Wananchi wa Mkoa wa Dodoma wenye sifa ya kupiga kura kujitokeza katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura kwa awamu ya pili ambapo zoezi hilo linalotarajiwa kuanza mnamo tarehe 16 hadi 22 Mei 2025 katika ofisi zote…