Waitara alia na walimu wa lugha

Dodoma. Mbunge wa Tarime Vijijini (CCM), Mwita Waitara amesema kuna changamoto ya walimu waliobobea kwenye ufundishaji wa mtalaa mpya kwa sababu wengi waliopo wanauelewa mdogo. Waitara alikuwa akichangia mkadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2025/26 bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu Mei 12, 2025. Makadirio hayo yamewasilishwa na…

Read More

Chadema yaishukia Chauma, Hashimu Rungwe akitupia ‘bomu’

Sengerema/Mwanza. Viongozi wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), wametegua kitendawili cha chama gani watajiunga nacho wanachama na makada wa chama hicho wanaojivua uanachama. Kitendawili hicho kimeteguliwa kwa nyakati tofauti leo Mei 12, 2025 wakati wa mikutano ya hadhara ya kampeni ya “No reforms, No election”. Zakaria Obadi, Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, ndiye…

Read More

MIAKA 20 GEREZANI KWA KUHUJUMU MRADI WA ETDCO

Na Mwandishi Wetu  MAHAKAMA ya Wilaya ya Lugoba, Halmashauri ya Chalinze Mkoani Pwani, imewahukumu watu wawili, Mayunga Senteu na Muganyi Makulu, kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kuiba na kuharibu miundombinu ya umeme. Wawili hao walikutwa na hatia ya kuiba nyaya za umeme aina ya ACSR kutoka katika…

Read More

ULEGA AVUNJA MKATABA WA MKANDARASI MZEMBE

 :::::::::: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametangaza kuvunjwa kwa mkataba wa ujenzi wa barabara Mkoani Tanga baada ya Mkandarasi kutoka China kushindwa kutimiza masharti ya mkataba.  Mkandarasi huyo, kampuni ya China Railway 15 Bureua Group anayejenga barabara ya Tanga – Pangani – Mkwaja – Bagamoyo (Makurunge) sehemu ya Tungamaa – Mkwaja – Mkange (km 95.2)…

Read More

IAA YAANZA UJENZI KAMPASI YA SONGEA

SHILINGI Bilioni 18, zimetolewa kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), ili kufanikisha ujenzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kampasi ya Songea. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mheshimiwa Kanali Ahmed Abbas wakati wa hafla ya makabidhiano ya eneo la ujenzi wa IAA kampasi ya Songea kwa Mkandarasi. Kanali…

Read More

‘Muwaamini makandarasi wazawa, wapeni mikopo’

Njombe. Taasisi za kifedha nchini zimeshauriwa kuwaamini na kuwapa kipaumbele wakandarasi wazawa kwa kuwapatia mikopo, ili watekeleze miradi ya Serikali kwa ufanisi na kwa wakati, bila vikwazo vya kifedha. Wito huo umetolewa leo, Jumatatu Mei 12, 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa majengo…

Read More

Mikopo ya elimu ya juu yaongezeka

Dodoma. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha vipaumbele vitano itakavyotekeleza katika mwaka wa fedha wa  2025/2026,  huku idadi ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu ikitarajiwa kuongezeka kutoka 245,314 mwaka 2024/2025 hadi wanafunzi 252,773 mwaka ujao wa fedha. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameyasema hayo leo Jumatatu Mei 12,2025…

Read More