Watoto 150,000 kupimwa selimundu Mwanza
Mwanza. Wizara ya Afya kwa kushirikiana na taasisi ya Baylor Tanzania imepanga kuwapima jumla ya watoto 150,000 wenye umri chini ya miaka mitano viashiria vya selimundu mkoani Mwanza ili kuwagundua mapema na kuwaanzishia matibabu na chanjo, kwa lengo la kukabiliana na ugonjwa huo uliokuwa tishio mkoani humo.Upimaji huo utafanyika kwa muda wa miaka mitatu kuanzia…