Prisons yainyuka Coastal, yaiweka pabaya Kagera 

Ushindi wa mabao 2-1 iliyopata Tanzania Prisons dhidi ya Coastal Union unaiweka katika presha kubwa Kagera Sugar ambayo baadaye itakuwa kibaruani mbele ya Mashujaa. Hii ni kutokana na vita ya kukwepa kushuka daraja baada ya KenGold kutangulia mapema na kuziachia msala timu zilizopo juu yake katika msimamo kila mmoja kujipambania kivyake kubaki salama Ligi Kuu…

Read More

WAHUKUMIWA MIAKA 20 GEREZANI KWA KUHUJUMU MRADI WA ETDCO

………………… Mahakama ya Wilaya ya Lugoba, Halmashauri ya Chalinze Mkoani Pwani, imewahukumu watu wawili, Mayunga Senteu na Muganyi Makulu, kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kuiba na kuharibu miundombinu ya umeme. Wawili hao walikutwa na hatia ya kuiba nyaya za umeme aina ya ACSR kutoka katika laini ya…

Read More

Wadau wataka habari bunifu zipewe nafasi

Dar es Salaam. Wadau wa masuala ya ubunifu wamevitaka vyombo vya habari nchini kuongeza kasi ya uandishi wa habari za ubunifu kwa sababu ndiyo dunia inakokwenda. Ili kufanikisha hilo, wametaka waandishi wa habari kujengewa uwezo wawe wabobezi wa eneo hilo ili kuondoa ombwe lililopo sasa la kuandika vitu wasivyovifahamu kwa undani. Hayo yamesemwa leo Mei…

Read More

Kesi ya Boni Yai, yaendelea kupigwa kalenda

Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kusambaza taarifa za uongo inayomkabili meya wa zamani wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, haujakamilika. Wakili wa Serikali, Erick Kamala ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Mei 12, 2025 wakati kesi hiyo ilipotajwa. Jacob ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, anakabiliwa na mashitaka mawili ya…

Read More

Utamu, uchungu mgawanyo wa majimbo

Dar es Salaam. Utamu na uchungu, ndiyo maneno mafupi yanayoakisi kilichoelezwa na wadau wa siasa kuhusu matokeo ya uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kugawanya majimbo. Mgawanyo huo umesababisha kuzaliwa kwa majimbo mapya manane ya uchaguzi na hivyo, kufanya uchaguzi wa baadaye mwaka huu uhusishe jumla ya majimbo 272, Tanzania Bara na…

Read More

Utekelezaji sheria PPRA kupunguza ukosefu wa ajira

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiendelea kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira, imeelezwa utekelezaji wa Sheria ya Ununuzi wa Umma (PPRA) ya mwaka 2023 unaweza kuwa msaada katika kuitatua. Sheria hiyo inazitaka taasisi za Serikali kutenga asilimia 30 ya bajeti yake ya ununuzi wa umma (tenda za Serikali) kwa ajili ya makundi maalumu. Mkurugenzi…

Read More

WFP KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TASAF

Na Mwandishi Wetu Mkurugezi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF Shadrack Mziray amelishukuru Shirika la Chakula Duniani kwa Niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa  Mchango wao  wanaoutoa wa kunusuru kaya Masikini. Amesema Shirika hilo la Chakula lina mchango mkubwa katika miradi ya maendeleo…

Read More