Umoja wa wafanyikazi unahitaji ushiriki kamili na kikamilifu katika mazungumzo yanayoendelea juu ya mageuzi ya UN – maswala ya ulimwengu

Maandamano ndani ya mipaka ya Sekretarieti ya UN huko New York. Maoni na Thalif Deen (Umoja wa Mataifa) Jumatatu, Mei 12, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Mei 12 (IPS)-kama majadiliano juu ya urekebishaji wa Umoja wa Mataifa-pamoja na ujumuishaji unaowezekana wa wakala wa UN na mfumo wa wafanyikazi wa upanaji-endelea katika…

Read More

Sh131.3 bilioni kutekeleza vipaumbele tisa, Katiba na Sheria

Unguja. Wizara ya Katiba, Sheria Utumishi na Utawala Bora, imepanga kutekeleza vipaumbele tisa huku ikiliomba Baraza la Wawakilishi kuidhinisha Sh131.337 bilioni. Miongoni mwa vipaumbele hivyo ni kuendeleza matumizi ya mifumo ya kielektroniki katika utumishi wa umma, kukamilisha na kuendeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa miundombinu ya Mahakama. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti…

Read More

Heche: Hatutaogopa vitisho vya kesi, jela  kudai mabadiliko

Buchosa. Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umesisitiza kuendelea kampeni ya ‘No reforms, no election’ kudai mabadiliko ya sheria na mfumo wa uchaguzi bila kujali vitisho vya kukamatwa, kuswekwa mahabusu wala gerezani. Msimamo huo umetolewa leo Mei 12, 2025 na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche wakati akihutubia mikutano ya hadhara katika…

Read More

Chadema bado hali tete, makada wengine 100 wajivua uanachama

Tabora. Jumla ya wanachama 110 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tabora wamejivua uanachama wa chama hicho. Miongoni mwa wanachama waliojivua uanachama ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, James Kabepele. Wanachama hao wamesema miongoni mwa sababu zilizopelekea kujivua ni pamoja ni kudharauliwa mawazo yao ndani ya chama, hawako tayari kutokushiriki uchaguzi…

Read More

Simba ubingwa Shirikisho Afrika unawezekana

Jumamosi wiki hii, Mei 17, wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wanatupa karata katika mechi ya kwanza ya hatua ya fainali ya mashindano hayo msimu huu. Mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa Manispaa jijini Berkane, Morocco ambao Simba watakutana na wenyeji wao RS Berkane. Baada ya hapo timu hizo zitarudiana hapa Tanzania…

Read More

Sadala Lipangile: KenGold bado haijashuka

BEKI wa KenGold, Sadala Lipangile amesema pamoja na timu hiyo kushuka daraja, wachezaji hawajashuka daraja badala yake mechi tatu zilizobaki ndizo za kujitafuta ili waendelee kubaki Ligi Kuu msimu ujao. KenGold ambayo awali ilijulikana kama Gipco FC (Geita) inatarajia kushiriki Championship msimu ujao baada ya kushindwa kubaki Ligi Kuu kufuatia matokeo iliyopata kwa kuvuna pointi…

Read More

Wizi mitandaoni bado  tatizo | Mwananchi

Dodoma. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi, amesema ukuaji wa teknolojia umekuja na fursa na changamoto zake, ikiwamo wizi wa mitandaoni ukihusisha Simbanking. Mahundi amebainisha hayo leo Mei 12, 2025 bungeni Dodoma akieleza kwamba watumiaji wa huduma za mawasiliano wamekuwa wakifanyiwa hadaa na kujikuta wametapeliwa fedha zao mtandaoni. Kwa mujibu wa…

Read More