Mambo manne waliyojadili Kapteni Traoré, Putin Russia
Ouagadougou. Rais wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, amehitimisha ziara yake nchini Russia alipohudhuria sherehe za Siku ya Ushindi wa Russia (Victory Day) dhidi ya utawala wa Kinazi wa Adolf Hitler. Traoré, aliyesafiri kwenda Russia kwa kutumia ndege aliyotumiwa na rafiki yake, Rais Vladimir Putin, kisha kurejea nchini mwake, alishiriki kikamilifu katika sherehe hizo, ikiwemo…