Mapinduzi: Nililia mwenyewe kisa majeraha

Ilikuwa Januari 4, 2020 mchezo mkubwa Tanzania Simba na Yanga zipo Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, wekundu hao wakitangulia kwa mabao 2- 0 ya mshambuliaji Meddie Kagere na winga Deo Kanda. Simba walikuwa wanaona kama ni siku yao lakini kumbe haikuwa hivyo, akatoka kijana mmoja mfupi wa kimo mwenye utundu wa miguu…

Read More

Singida Black Stars yaanza kuzidai pesa za Gomez

MABOSI wa Singida Black Stars wameiandikia barua Wydad Casablanca ya Morocco kudai malipo ya mauzo ya mshambuliaji, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ waliyemuuza kupitia dirisha dogo la usajili akitokea Fountain Gate aliyokuwa akiitumikia kwa mkopo. Inadaiwa kuwa, tayari Singida BS imetoa siku 14 kwa Wydad kutekeleza makubaliano yao ya kuuziana mchezaji huyo kabla haijakimbilia Shirikisho la Soka…

Read More

Ubovu viwanja vya mazoezi chanzo majeraha kwa wachezaji

Ligi Kuu Bara ni chachu ya vipaji na ndoto za wanasoka wanaotamani kufikia mafanikio ya kimataifa. Hata hivyo, changamoto ya miundombinu hususan hali ya viwanja vya mazoezi imekuwa inatishia maendeleo ya mpira wa miguu na afya za wachezaji. Viwanja visivyokidhi viwango vimekuwa sehemu ya majeraha ya mara kwa mara, yanayoathiri uwezo wa wachezaji kushiriki kikamilifu…

Read More

Mwili wa Cleopa Msuya wapokewa KIA, kuagwa Mwanga

Hai. Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya umewasili leo Mei 12, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na viongozi wa mbalimbali wa Serikali . Msuya ambaye alizaliwa mwaka 1931 katika Kijiji cha Chomvu, Usangi, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, alifariki dunia…

Read More

Mwili wa Cleopa Msuya wapokelewa KIA, kuagwa Mwanga

Hai. Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya umewasili leo Mei 12, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na viongozi wa mbalimbali wa Serikali . Msuya ambaye alizaliwa mwaka 1931 katika Kijiji cha Chomvu, Usangi, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, alifariki dunia…

Read More

Tanzania Prisons, Kagera acha tuone itakuwaje!

UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa kwenye viwanja tofauti, huku macho na masikio yakiwa ni kutaka kujua timu gani itaungana moja kwa moja na KenGold kushuka daraja na zile zitakazocheza ‘play-off’ ya kubakia. Mechi ya mapema leo, itapigwa saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, ambapo wenyeji Tanzania…

Read More