Mashujaa, Mgunda ni suala la muda tu
MASHUJAA haijamkatia tamaa aliyekuwa mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Ismail Mgunda aliyekuwa ametimkia AS Vita ya DR Congo katika dirisha dogo msimu huu kabla ya kurejea nchini hivi karibuni. Vita ilimtaka Mgunda kwenda kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji, ambako straika huyo ni mmoja wa mastaa waliotakiwa na aliyekuwa kocha Youssouf Dabo aliyewahi kuifundisha…