SERIKALI KUNUNUA MTAMBO KUSAFISHA ZIWA VICTORIA

 ::::: Serikali imedhamiria kununua mtambo maalum wa kusafisha ziwa victoria lililoathirika na gugumaji jipya ambalo limekuwa tishio kwa shughuli za uvuvi na usafirishaji kwa wananchi. Hayo yamesemwa Jana Mei 10, 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda alipokua akizungumza na Wananchi waliokuwa wakisubiri huduma ya usafiri wa kivuko katika eneo la Kigongo…

Read More

Makalla alivyojitenga na uvumi wa ubunge Morogoro

Morogoro. Ziara ya siku tano ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, mkoani Morogoro, imemtosha kujitenga na uvumi kuwa atagombea ubunge katika Jimbo la Mvomero. Hii ni kutokana na kile alichoeleza hana nia ya kugombea ubunge, badala yake mawazo yake yamejikita katika kumsaidia mwenyekiti wa chama hicho, Rais…

Read More

Wadau wataka mbinu mpya usimamizi wa fedha

Dar es Salaam. Wataalamu wa usimamizi wa fedha, wamesema ni muhimu kuwepo ubunifu, mageuzi ya kimkakati na uundaji wa thamani ya muda mrefu katika usimamizi wa fedha, badala ya kutumia mbinu za jadi. Wamesema kufanya hivyo, kutaimarisha shughuli ya usimamizi wa fedha nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki kwa ujumla wake. Hayo yameelezwa mwishoni…

Read More

New King yavunja mwiko na kupanda ZPL 

Timu ya New King maarufu ‘Wachoma Mahindi’ imetegua kitendawili kilichokuwa kikiulizwa na wengi kwa miongoni mwa timu zilizopanda daraja na msimu ujao itacheza Ligi Kuu Zanzibar(ZPL). Timu nyingine zilivuka hatua hiyo kwa Kanda ya Pemba ni Wawi na Fufuni zitakazocheza ZPL kwa kwa mara ya kwanza pia.  Wachoma Mahindi wametinga hatua hiyo baada ya kuitandika mabao…

Read More

Njia nane za kumrudi mwenza akikosea

Katika uhusiano wa kimapenzi au ndoa, changamoto na migogoro ni mambo ya kawaida.  Binadamu wote huwa na makosa, na mara nyingine mmoja kati ya wenza anaweza kufanya jambo lisilompendeza mwenzake.  Katika hali kama hizi, baadhi ya watu huamua kutumia adhabu kama njia ya kumkanya mwenza wake ili kuepuka kurudia makosa hayo. Hata hivyo, suala hili…

Read More

Padri Nkwera kuzikwa kituo chake cha maombezi Ubungo Mei 18

Dar es Salaam. Mwili wa Padri Felician Nkwera unatarajiwa kuzikwa Jumamosi Mei 18, 2025 katika kituo chake cha Maombezi kilichopo Ubungo jijini Dar es Salaam. Hayo yamesemwa jana Jumamosi Mei 10, 2025 na mwenyekiti wa huduma za maombezi wa kituo hicho, Deogratias Karulama alipozungumza na Mwananchi kuhusu ratiba za mazishi hayo. Padri Nkwera alifariki dunia…

Read More

Kashfa, kejeli vinapogubika talaka za mastaa

Umewahi kufanyiwa kejeli au kukashifiwa kama sio kutukanwa na mtu mliyekuwa na uhusiano ukiwamo ule wa ndoa? Kama hujawahi, una bahati kwani kuna watu hukumbwa na masaibu,  kiasi cha kujutia muda waliotumia pamoja na wenza wao waliogeuka maadui. Kejeli, kashfa na hata matusi, vimekuwa vikishuhudiwa kwenye mitandao ya kijamii kwa  baadhi ya watu hasa wale…

Read More

Wenje: Nitasimama na Chadema, sina mpango wa kuhama

Geita.  Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Ziwa Victoria, Ezekiah Wenje amesema hawezi kuhama chama hicho akisisitiza bado anaamini katika nguvu ya chama hicho kuleta mabadiliko ya kweli nchini licha ya sintofahamu iliyoibuka baada ya uchaguzi wa ndani wa chama uliofanyika Januari 21, 2025. Katika uchaguzi huo, Wenje aligombea nafasi ya umakamu mwenyekiti Bara akimuunga mkono,…

Read More