Kisasi cha mtoto kwa mzazi ni matokeo ya maumivu uliyompa
Wazazi wanapaswa kutambua kuwa athari za malezi mabaya hazikomei utotoni, bali huenda zikatawala maisha ya mtoto hata akiwa mtu mzima. Kupitia upendo, uelewa na mawasiliano, tunaweza kuvunja mzunguko wa mateso na kujenga kizazi chenye afya ya mwili na akili. Siku njema huonekana tangu asubuhi, Waswahili ndivyo wasemavyo, msemo ambao pi ulianza kutumika tangu enzi za…