May 2025
UN inaonya uhaba wa shaba ina hatari ya kupunguza nguvu za ulimwengu na mabadiliko ya teknolojia – maswala ya ulimwengu
Katika hivi karibuni Sasisho la Biashara ya Ulimwenguniiliyotolewa wiki hii, Unctadinaelezea Copper kama “malighafi mpya ya kimkakati” kwenye moyo wa uchumi wa ulimwengu wa haraka na unaongeza nguvu. Lakini kwa mahitaji yaliyowekwa kuongezeka zaidi ya asilimia 40 ifikapo 2040, usambazaji wa shaba uko chini ya shida kubwa – ikisababisha chupa muhimu kwa teknolojia kuanzia magari…
SACP NGOLE AKAGUA MIFUMO YA KIUSALAMA KATIKA MGODI WA ANGLO – SONGWE.
Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Miundombinu Muhimu Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Ngole kutoka Makao Makuu ya Polisi Dodoma amekagua mazingira ya kiulinzi ikiwa ni pamoja na mifumo ya Operesheni ya kamera za kisasa za Kiusalama (CCTV CAMERA) iliyopo katika mgodi wa Anglo Songwe uliopo Kijiji cha Patamela Wilaya ya Songwe. SACP…
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AHANI MSIBA WA HAYATI CLEOPA MSUYA DAR ES SAALAAM
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete ahani msiba wa Hayati Cleopa Msuya, Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu nyumbani kwake Upanga Jijini Dar es Salaam leo 10 Mei, 2025. Dkt. Kikwete ameungana na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi…
Wachungaji KKKT: Msuya atakumbukwa kusimamia kuzaliwa Dayosisi ya Mwanga
Moshi. Wachungaji waanzilishi wa Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wamemwelezea Cleopa David Msuya kama mmoja wa waasisi wa kuzaliwa kwa Dayosisi hiyo akihimiza vuguvugu hilo liwe la amani. Vuguvugu la uanzishaji wa Dayosisi hiyo lilipitia milima na mabonde huku wachungaji 16, wainjilisti na waumini waliokuwa wakiunga mkono kuanzishwa kwa…
Majaliwa: Dini zina mchango kuimarisha ustawi wa jamii
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema madhehebu ya dini yana mchango mkubwa katika kuimarisha ustawi wa jamii na kutoa huduma za kiroho. Majaliwa amesema Serikali inathamini kazi kubwa inayofanywa katika maeneo mbalimbali, hususan katika kutoa huduma za kijamii na hivyo kuchangia kasi ya maendeleo ya Taifa. Amezitaja baadhi ya huduma hizo kuwa ni…
Wachimbaji wa jasi walia gharama kubwa za uendeshaji
Same. Wachimbaji na wasambazaji wa madini ya jasi katika Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali kuridhia kupandishwa kwa bei ya madini hayo kutoka Sh65,000 hadi Sh87,600 kwa tani moja, wakidai kuwa bei ya sasa hairidhishi na haitoshelezi gharama halisi za uzalishaji. Maombi hayo yametolewa katika mkutano wa wadau wa madini ya viwandani uliofanyika mkoani…
Watatu waliofariki kwa maporomoko ya udogo wazikwa
Moshi. Miili ya watu watatu wakiwamo wawili wa familia moja, waliofariki dunia baada ya nyumba zao kuporomokewa na udongo kutokana na mvua zinazonyesha mkoani Kilimanjaro wamezikwa. Maziko yamefanyika leo Mei 10, 2025 katika vijiji vya Tema na Korini vilivyopo Kata ya Mbokomu. Tukio hilo lilitokea usiku wa Mei 6, 2025. Miili iliagwa katika Kanisa la…
Mgodi wa dhahabu Magambazi kuanza rasmi Julai
Handeni. Wizara ya Madini imeridhia Kampuni za PMM Tanzania Limited na East African Metals (CANACO) watafute mwekezaji mwingine wa tatu mwenye nguvuĀ ili kuendesha mgodi wa Dhahabu wa Magambazi uliopo wilaya ya Handeni Mkoani Tanga,ambao umekuwa ukisuasua kufanyakazi kwa muda mrefu. Waziri wa Madini Anthony Mavunde ameeleza hayo wakati akitoa muafaka ambapo alitoa siku 30…
Mwili wa Msuya wafikishwa nyumbani kwake Dar, kuagwa kesho
Dar es Salaam. Mwili wa Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya umewasili nyumbani kwake, Upanga, Dar es Salaam ambako utahifadhiwa hadi kesho Mei 11, 2025 utakapoagwa katika viwanja vya Karimjee. Shughuli hiyo ya kuupokea mwili imefanyika leo Mei 10, 2025 ikiongozwa na Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa na kushuhudiwa na waombolezaji mbalimbali waliofika msibani kutoa pole…