Bado Chadema hakujapoa, makada wengine wajivua uanachama
Dar es Salaam. Maji na mafuta yameendelea kujitenga ndani ya Chama cha Demokarasia na Maendeleo (Chadema) baada ya makundi ya makada na viongozi waandamizi kuendelea na safari ya kutangaza kukihama chama hicho kikuu cha upinzani. Ni maji na mafuta kwa sababu kuna uwiano wa ushawishi na nguvu ya kisiasa waliyonayo kati ya wale wanaotangaza kukihama…