Heche apeleka ‘No reforms, No election’ Chato
Chato. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) (Bara), John Heche amefika Wilaya ya Chato kupeleka kampeni ya chama hicho ya No reforms, No election. Heche anayeongoza timu ya chama hicho katika ziara ya Kanda ya Victoria ameingia Chato leo Mei 10, 2025 kwa kuhutubia mkutano wa kwanza katika Kijiji cha Muganza ambako…