Wasomi watakiwa kubuni teknolojia za kupunguza upotevu wa mazao
Morogoro. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema licha ya Serikali kuweka fedha nyingi katika miradi ya kilimo, bado kuna changamoto ya uharibifu na upotevu wa mazao baada ya kuvunwa. Kigahe amesisitiza kuwa vijana wasomi wanapaswa kuendeleza na kubuni teknolojia zitakazosaidia kupunguza changamoto hiyo. Kigahe aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na wabunifu, wajasiriamali, wahadhiri,…